Tahadhari Muhimu ya Usalama & Ulinzi wa Akaunti Yako.
Wapendwa wasanii na watumiaji wa ChapConnect, tafadhali zingatieni kuwa timu ya ChapConnect haitawahi kukuomba nenosiri (password) lako au PIN yako kupitia SMS au simu.
Kama umepokea ujumbe wowote wa kutiliwa shaka, tafadhali ripoti mara...
Read more →
Wapendwa wasanii na watumiaji wa ChapConnect, tafadhali zingatieni kuwa timu ya ChapConnect haitawahi kukuomba nenosiri (password) lako au PIN yako kupitia SMS au simu.
Kama umepokea ujumbe wowote wa kutiliwa shaka, tafadhali ripoti mara moja kwa dawati letu la Customer Care kupitia kitufe cha 'Need Help' kwenye dashibodi yako ili tulinde usalama wa jamii yetu.
Show less